.jpg)
Lace wigs zipo Kinondoni Muslim kwenye duka la DIVAS2006 kwa
Devota Diva....
kama hupajui piga number hizi 0655622376 and 0715494914......
Utakuta kifurushi chako kimeandikwa jina lako juu.....
PS. Wateja wa corset vuteni subira, nasubiri order inifikie from Columbia. Ikifika tu na mie natuma mzigo bongo fastaaa....
mnisamehe kwa kweli i had no order it takes this long to make an order from the manufacturer....Ningesema ninunue kwa retailer
bei ni kubwa mnooooo ndo maana nikaona nizifate huko huko.....
Beba pesa za shopping kabisaa maana kuna new arrivals za ukweeeee hapo DIVAS2006...
PS: Hivi mnajua kwamba posta yetu ipo very very efficient? mnajua huu mzigo nimeutuma kupitia posta?sio fed ex wala dhl na umefika
kwenye muda mzurii na haujaibiwa.... So kuanzia sasa ntakuwa natuma kwa post sababu its cheap aisee.....Yani nilikuwa sijui,ilikua
mtu akiniambia ananitumia kitu kwa posta nakata kumuuliza kama akili nzuri, maana nilikuwa naamini ukituma mzigo kwa posta lazma upotee au uibiwe.....
Kwa wale wafanya biashara wengine mlioko USA mliokuwa mnanitumia email kutaka kujua natumaje mizigo bongo, Now you know... Tumieni postaaaaaa