16January

HAPPY BIRTHDAY CASSIE........

 

My first love, My first born ,my daughter Cassandrah is celebrating her 11th birthday today……

 

As a mother theres no day more joyous than your child's birthday, a reminder of a life you brought into this world, a reminder of how much you trully love your child and what you would do for them, including giving your own life......Although today is my daughter Cassandrah's 11th birthday i am overwhelmed with saddness and pain....simply because i cannot hold her, i can not see her, i can not tell her of how much i love her........ Inshallah i will be able to celebrate her next birthday with her...

I won’t say anything else………….As im hurting very badly today.....I miss her terribly....

 

There's no me without these 2.....

Comments (123)

  • maudodo

    maudodo

    16 January 2013 at 09:44 |
    birthdaypopchampgne happy birthday bhoke (cassandrah)....pole mangerita huwa inatokea kwenye maisha huwezi kuwa na watu uwapendanao kila wakati katika siku zao muhimu kama hz...muombe mungu ili next time muwe wote.. Inshallah....!!!
    • kibonge

      kibonge

      16 January 2013 at 13:50 |
      birthdaybirthdaydancebirthdaydancebirthday :champane:


      happy birthday bhoke.....,,
    • NYAWINO

      NYAWINO

      16 January 2013 at 13:52 |
      well said maudodo!! Inshallah next time Mange utakuwa pamoja tu na your lovely daughter.
  • jino moja

    jino moja

    16 January 2013 at 10:00 |
    we love you Bhoke. Happy birthday baby girl
    • Anonymous

      Anonymous

      16 January 2013 at 12:28 |
      sadeducationeducation happy b'day Cassadra.hongera Mange,una mtoto mzuri.nimefurahi kuona picha yake
  • Anonymous

    Anonymous

    16 January 2013 at 10:11 |
    Happy B'day Cassandrah, May God gives You Long Life
  • Anonymous

    Anonymous

    16 January 2013 at 10:12 |
    HAPPPPY BIRTHDAY CASSIE. SOOO SAD. she knows u love her.
  • Miss U turn

    Miss U turn

    16 January 2013 at 10:14 |
    birthdaybirthdaydance umesha kuwa mdada mashalah
  • Anonymous

    Anonymous

    16 January 2013 at 10:15 |
    jaman its just like u mange, n how u never lived wth ur mum. im sure she was hurtin like u r nowsad
  • c's mum!

    c's mum!

    16 January 2013 at 10:18 |
    HAPPY BIRTHDAY CASSIE! ANALINGANA NA CHARONELL WANGU MANGE, NAYE ALITIMIZA 11YRS LAST OCTOBER 24TH! INSHAALLAH MUNGU ATUKUZIE!
    • Anonymous

      Anonymous

      17 January 2013 at 15:10 |
      Great!! My birthday mate. I'm 50 years old. I would like to know her character. I'm a true scorpion. Ni mkali but extremely humble na full of love. My regards to her.
  • Kijaruba

    Kijaruba

    16 January 2013 at 10:24 |
    birthdaybirthdaydancebirthdaybirthdaydance Bhoke, sie ma aunties wa mtandao tunakutakia kila la kheri katika maisha yako, we love you Cassandra!

    Mama Bhokenzo, hongera kwa kukuza na pole kwa kutoweza kusherehekea birthday ya baby yako pamoja.
  • Tiara

    Tiara

    16 January 2013 at 10:41 |
    Mange I know how it feels... POLE! "Happy 11th Birthday to Cassandrah"cheers
  • muke ya muuza mboga(samaki)

    muke ya muuza mboga(samaki)

    16 January 2013 at 10:56 |
  • Anonymous

    Anonymous

    16 January 2013 at 11:20 |
  • Anonymous

    Anonymous

    16 January 2013 at 11:36 |
    Happy birthday baby girl, ishalaah Mange iko siku utamlea mwanao wewe mwenyewe.
  • Anonymous

    Anonymous

    16 January 2013 at 11:36 |
    Ingekuwa mimi ndio wewe ningetambaa chini nikilia nimbembeleze Frank aniruhusu tu nimleee huyo mtoto, its only fair for her kuwa sasa na wewe uwe naye mjenge bond, akikunyima anakuwa anamnyima mtoto haki yake. Pole sana, things will be fine someday, najua unataka sana kukaa naye ila mambo bado, kazana yatafanikiwa.
    • Tegeta Ununio

      Tegeta Ununio

      16 January 2013 at 18:00 |
      Hivi kwa nini kaka zetu wa kikurya wako so sensitive na watoto wao kama Wachaga??shemeji yangu nae mkurya alikuwa anamkatalia mtoto my sis asimuone weeeeeee but now(he has come back to his senses) kalegeza kama.;labda cjui kapata another boy too another woman cjuiiiiii..the boy is in std seven at least anakuja kwa mama yake likizo..Anyway nimejifunza maisha ya kudivorce yanachanganya watoto na haswa suala la malezi
      • Anonymous

        Anonymous

        17 January 2013 at 01:09 |
        wewe mdada hujui historia ya huyo mtoto wa kike CEO wetu ndio aliemrudisha mtoto kwa baba yake mzee kimambi alimpa masharti rudisha mtoto nikusomeshe chuo kikuu sasa msilete zenu eti kamnyima mtoto tena mumsifu baba ake binti kwa nyimbo na mapambia kumlea mtoto
        • Tegeta Ununio

          Tegeta Ununio

          17 January 2013 at 13:50 |
          Past is already passed!!Mange will remain her mother who carried her for 9months and took care of her for some years ebooo.mbona nlikuwa namuona anakuja nae Mabibo hostel those days(i think in 2003 i was in second yr by then) when she was not even 2yrs..usinichanganye bwana na ww kutaka kutetea.mama ni mama tuuuuuuu
    • Give me a break!!!

      Give me a break!!!

      16 January 2013 at 18:36 |
      givi me a big break!!.....alipotakiwa aweke bond na mwanaye yeye akaona kuweka bond na shule ndo muhimu na akaamua kumpeleka mtoto kwa baba yake so now ndo anaona umuhimu wake?? Leave the baby alone, kwanza maadili ya Mange sidhani kama Frank angependa amlee mtoto wake....she's safe with her father even yeye Mange alisha sema hivyo!!.........Happy birthday cassandra!!
      • Anonymous

        Anonymous

        17 January 2013 at 03:05 |
        Hajakufika muombe Mungu msamaha.
        • anonymous

          anonymous

          17 January 2013 at 09:01 |
          nani angemlea na Mange's mum hakuwa hai? Mtoto ni wa wote na kusoma kwa Mange ni faida kwa mwanae pia. Bora yeye aliempereka kwa baba yake kuliko wewe unaetoa mimba
          • Naa

            Naa

            18 January 2013 at 21:39 |
            Point!!!!!! Eti anasemaje huyo mpuuzi wa juu? BOND? ....CEO hanakosa lolote kupeleka mtoto kwa babu, ...mimba ngapi ww unae mponda CEO UMETOA iliuendelee na shule?
        • Tegeta Ununio

          Tegeta Ununio

          17 January 2013 at 13:53 |
          I second u mdau..wabongo tunapenda sana kulaumuuuuuuuuu.mbona baba zetu walituacha weeee mama zetu wakatulea.saiv tuna kitu mbo mbio kuomba misaada na still unaambiwa msaidie mzazi wako huyo..ila when it cmes to mama/women ndo mnaanza ujinga oooh alitakiwa aweke bond cjui ushuzi gani??acheni mfumo dume nyie mnanikerajeeeeeeee
      • anonymous

        anonymous

        17 January 2013 at 12:51 |
        baba akitelekeza mtoto nakuja kumdai ukubwani ni sawa ila mwanamke akifanya sio sahihi.tuache utummwa.nae alikuwa na sababu za msingi kufanya hivyo na sasa amepata nafasi haimanishi haki yake ndio ipotee.kama wanume wanapewa second chance kwanini wanawake nao wasipewe.
      • Tajibeba

        Tajibeba

        17 January 2013 at 13:13 |
        kweli we dada hayajakufika tena tema mate chini kwa sisi yaliyotukuta tunamwelewa CEO anavyo umia moyo wake mii see my kids once a week but still i feel like i need to see them more sembuse Mange na Bokhe walivyo a far distance apart. if Mange never loved Bokhe at those times asinge mruhusi mtoto akalelewe na babake Gonga was finacially stable Mange needed to stabilize she made the right chouice at those times now she has her own life both parents shod agree on visitation terms mara nyingi wazazi wanafanya kukomoana but at the end of the day ni watoto ndio wanaoumia in most cases . as much as Mange misses her baby so is her baby missed Mange. i know Baba Bokhe is the niciest daddy any woman would want from a man to her children but still distance kills asikwambie mtu.
  • Anonymous

    Anonymous

    16 January 2013 at 11:40 |
    Happy birthday Bhoke, pole Mange, hapa kweli ndio ambako umepatikana, kutokuishi na Bhoke is your failure in life.Rekebisha mambo umchukue mtoto.
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    16 January 2013 at 12:05 |
    A daughter is the petal from a flower of heaven

    Happy Birthday Our Princess Bhoke.....blowkissbirthdaydancebirthdaydancebirthdaydance

    We Love You......
  • SENSINTIVE SAMURAI

    SENSINTIVE SAMURAI

    16 January 2013 at 12:43 |
    birthdaybirthdaybirthdaydanceletsparty mwenyezi mungu mwingi wa rehema ukukuza na kukulinda dadaake na watiti akupe maisha marefublowkissblowkiss
  • PRETTY ME

    PRETTY ME

    16 January 2013 at 12:51 |
    SHINE BRIGHT LIKE A DIAMOND
  • k0ku

    k0ku

    16 January 2013 at 14:25 |
  • Tegeta Ununio

    Tegeta Ununio

    16 January 2013 at 14:44 |
    Happy birthday Bhoke wetu wa Musomaaaaaa line!!Pole MAnge rejoice as u have such a big daughter,proud mama n hongera kwa kukuza..I can feel the mixed feelings u have..mtoto wa ujana mzuriiiiiiiiiiiii asikwambie mtu..Hongera uliwah i wish i wish!!
    • Anonymous

      Anonymous

      17 January 2013 at 00:27 |
      Kamkuza au kamzaa? kukuza mtoto ni pale ambapo umelea mwanao from day one just saying!!!
      ''being a mum is not about just giving birth''!! go figure
      • LUCKY LADY

        LUCKY LADY

        17 January 2013 at 11:53 |
        hata usemeje mange ndo mamakeeeee angetaka angetoa mimba manake kwanza alikuwa na umri mdogo lakini kwa mapenzi mema aliiacha na amezaa binti mrembo, hayo mengine ni vijimambo tuuu, watu kibao wanalelewa watoto wao na mahouse gal sioni tofauti, punguzeni ngebe.
        HAPPY BIRHDAY BHOKELICIOS.
      • anonymous

        anonymous

        17 January 2013 at 12:53 |
        usisahau kuwa mtoto wa mwenzio mbebe akiwa mdogo
      • Tajibeba

        Tajibeba

        17 January 2013 at 13:16 |
        you should take a chilled pilipili eat it and swallow withsoftdrink baridii then go take a coldshower kalea hajamlea the fact remains she is her Baby. jirambee
      • Tegeta Ununio

        Tegeta Ununio

        17 January 2013 at 13:57 |
        i think u r the one to go n figure the real meaning of being "a biological mother" not me..coz me najua maana yake..Na najua (na nlishuhudia nikiwa Mabibo hostel,so usinibishie ww mdada )Mange alimlea kwa muda wake hadi hzo circumstances zingine zilivyotokea
        • Anonymous

          Anonymous

          17 January 2013 at 20:07 |
          its about time people stop giving visingizio hapa, Mange can raise her own kid now she has stable life, period!!!acheni kumtetea hata kwa vitu vya kipuuzi,WATANZANIA TUNATAKIWA KUELEWA ITS NOT ABOUT JUST GIVING BIRTH, AS A PARENT OR MUM YOU NEED TO BE THERE 100% MANGE HAS STABLE POSITION NOW ITS NOT TOO LATE KUWA NA SHARED CUSTODY!!!
          • Tegeta Ununio

            Tegeta Ununio

            18 January 2013 at 13:06 |
            HUSOMEKI what is ur point???
  • Neema Masuki

    Neema Masuki

    16 January 2013 at 14:53 |
    Happy birthday Cassandrah, mumy love u sana, Mungu akupe maisha marefu
  • Anonymous

    Anonymous

    16 January 2013 at 15:05 |
    birthday mpaka nimesikias kulia kwa jinsi ulivoandika, so sad
  • Mine

    Mine

    16 January 2013 at 15:24 |
    fan ....birthday Cassandra
  • Mine

    Mine

    16 January 2013 at 15:29 |
    fanbirthday Cassandrapopchampgne Cassandra mumie loves u so much
  • Tonnialee....

    Tonnialee....

    16 January 2013 at 16:12 |
    birthdaypopchampgne
    so touching... inshallah! Allah akukuzie tule mahali, Happy Birthyday Bhoke
  • Deborah

    Deborah

    16 January 2013 at 16:32 |
    Maneno yako ya busara yameniumiza sana, pole sana muombee mungu siku moja mtaonana kwenye jambo la furaha. happy Birthday baby girl
  • Anonymous

    Anonymous

    16 January 2013 at 16:35 |
    birthday sandra....
  • Anonymous

    Anonymous

    16 January 2013 at 17:04 |
    Hongera sana binti yako ana miaka 11? Happy Birthday Cassie, mbona sasa sijawahi kujua kama una kabinti kazuri hivi? mbona hauwekagi picha zake au anakaa bongo? Hongera anyway, nilijua Kenzo ndio first born.
  • Anonymous

    Anonymous

    16 January 2013 at 17:15 |
    Mange binti yako unampenda sana tena sana nayeye uwe unaweka updates zake humu nayeye uwe unaandika unamuita mwanangu, my love kama hivi ulivyoandika leo, vinginevyo watu wanaona kama unamsahau flani cos babake hauko naye au cos babake sio mzungu. Happy Bday Cassie.
  • Anonymous

    Anonymous

    16 January 2013 at 17:20 |
    hongera binti yako mzuri na mna features flani mnafanana, ila Mange honestly speaking huyu mtoto anakumiss sana hata usoni anaonekana na nimeshawahi kumuona she is not so confident and she is somehow so insecure, wewe ndio role model wake, you are her mother. Najua sio rahisi kuarrange all very fast, but do something ukae naye umlee mwenyewe akivunja ungo umfundishe mwenyewe, akianza mambo ya mapenzi umuelekeze mwenyewe.Tena huyu alizaliwa USA wala haitakuwa shida sana kumleta, mtu wa kumuweka sawa ni Gonga tu, then mtoto unamchukua, na kila likizo unamlipia anaenda kwa baba. Ukienda bongo kachangamke uweke hilo sawa, utakuwa na furaha na amani moyoni hata kama siku ukiwa hauna hela ila kumuona mwanao pembeni yako utafurahia sana.
    • Anonymous

      Anonymous

      16 January 2013 at 17:51 |
      MDAU UMETOA POINT NZITO SANA....Happy Birthday Cassie
    • Tegeta Ununio

      Tegeta Ununio

      16 January 2013 at 18:05 |
      Not that easy aisee as far as i know my Musoma brothers when it comes to issue za watoto tena hasa akiwa na uwezo wa kumlea mwenyewe
    • anonymous

      anonymous

      17 January 2013 at 09:06 |
      Acha uongo wewe, she is happy,confident na anampenda baba yake sana, Frank is so proud of his daughter na kila wakati anasema huwajui unaropoka tu. Kwa wanaomjua Bhoke ndio wanajua tabia zake she is sooo loving na anaweza kaa na mtu yoyote.
  • Anonymous

    Anonymous

    16 January 2013 at 17:21 |
    Happy Birthday Bhoke, ooh poor girl and poor mummy, wote mnatia huruma sana najua how you are both feeling cos nilikuwa kukaa mbali na mwanangu miaka 4 nilikuwa nasoma siku nilipomchukua, nilipomuona airport nilitaka nizimie. It will be allright Mange iko siku mtakuwa wote.
  • Cassie's twin

    Cassie's twin

    16 January 2013 at 17:23 |
    happy birthday lil twin; mine is also today! be blessed cute gal
  • Anonymous

    Anonymous

    16 January 2013 at 17:47 |
    jamani hadi machozi yamenitoka nilivyosoma mange ulivyoandika ,,happy birthday baby gal mom loves so much,,i wish you many many more years to come n good healthy
  • Uturn Addict

    Uturn Addict

    16 January 2013 at 18:59 |
    birthday swe3t heart... Mumy loves u big....jus pray for her. ...

    MANGE U HAVE TO MAKE IT UP TO HER UKIJA...... MTUPIE MBRUNCH WA MAANA PALE SERENA AU HYATT....
    NAHISI ATAKUWA AMEKUMISS SANA MASKINI....

    DAAH NATAMANI MTOTO MEEEEIIIN
  • tilalila

    tilalila

    16 January 2013 at 19:06 |
    happy birthday Bhoke wetu, auntie Wegesa loves you sanablowkiss
  • ORIGINAL MEGAN

    ORIGINAL MEGAN

    16 January 2013 at 20:14 |
    Happy Birthday miss Cassie..
    Mange pole sana dear..But you know what?endelea kusali kwa imani,Mungu atakupigania..Huyu mtoto ulimbeba wewe kwenye tumbo lako la uzazi,hicho ni kitu kinachomvutaga mtoto amkumbuke mama ake,na amthamini.Fight for her.U will be with her one day inshallah.
  • jumeirAh BeAch

    jumeirAh BeAch

    16 January 2013 at 21:24 |
    HAppy BirthdAy cassie, MAy AllAh bless u n ur mom! My darling mange hakuna kilicho mwanZo kikakosa mwisho Allah yu pAmoja nawe nshallAh kwa uwezo wAke AtAwakutanisha na mwanao muishi kwa mapenZi na raha na AMAni! Wengi hawaelewi but I do my friend. Cassie anakupendA sanA, kama wee unavyompenda.
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    16 January 2013 at 22:50 |
    birthdaybirthdaybirthdaybirthdaybirthdaydancebirthdaydancebirthdaydance Happy birthday Bhoke,,,enjoy ur special day baby girl! God bless uuuuublowkissblowkiss
  • aunty wa bhoke

    aunty wa bhoke

    16 January 2013 at 23:06 |
    birthday mtoto wetu mungu akulinde tunakupenda bhoke wetu ila mange jikaze ndio maisha ipo siku mtakua pamoja usijililaumu mola atakutimizia haja ya moyo wako kila jambo linamwisho kwa wale wanao msema mange vibaya sio vizuri kumbukeni yeye ni mzazi mwenzenu na kama hamna watoto basi msimsema vibaya hamjui na nyie watoto wenu watakua vipi na utawaleaje kama halijakusibu basi shukuru wanawake tupendane chuki haijengi bora ya mange amemtabulisha bhoke wangapi mkienda ulaya mnasahau watoto wenu bongo au wangapi wanadai hawana watoto wakifika ulaya wajifanya hawajawahi kuzaa lakini hatuwasemi kwasababu ni uamuzi wao binafsi wanawake msiwe wepesi wakuhukumu wenzenu hio kazi ni ya mungu kifo chaja jehanamu ipo hujafa hujaumbika leo kwa mange kesho kwako dunia daraja bovu
    • Tajibeba

      Tajibeba

      17 January 2013 at 13:51 |
      wangapi wanaolewa wanawadanganya waume zao hawajawahi kuzaa na hawana watoto. kumbe watoto wanalelewa na bibi si bora hata Mange yuko open about her child watu bwana msipende kunyooshea wenzenu vidole wakati vinne viko kwenu
  • Anonymous

    Anonymous

    16 January 2013 at 23:19 |
    Mange i would just like to share with you something this is not judgemental or to offend u all in all my dear woman i believe that in your heart all this makes you very sad. But mange kweli dont excuseyourself anymore its time to stop the excuses and start taking real responsibilities.. hata jami itakuheshimu zaidi and forget about jami just think kama wewe as mzazi inakuuma and ur an adult what about her as a young girl... please mange yani kweli toka moyoni usimuache huyu mtoto akathani humpendi...i believe nothing can come between your daughter if you really want her near you. Unless ykur confortable been apart. All in all may god bless and may god lead you to the safe way. I see bhoke to grow to like michelle obama...happy bithday angel ur beyond beautiful.
    • Anonymous

      Anonymous

      17 January 2013 at 01:47 |
      You people need to understand there are two sides involved, Mange and Frank&his family. You can't judge what you don't know. Mange maybe everything wrong but she got love,she has compassion(after all these years of visiting her blog, i have seen it,I am sure you have too, so don't you judge her on this issue)this is out of her reach. I am 29 years old now but i was that kid once(Bhoke). I am sure she would love to put her pictures everyday but she can't. Mange I wish you the very best on this,before you know it she will be in your arms, take heart. This is sensitive case just don't judge and slay her like that uturners!!
    • bahati

      bahati

      17 January 2013 at 04:16 |
      applause point...Kabinti kazuri kweli...Hongera Mange...na H.B.D to bintiyo...
  • mdau8

    mdau8

    16 January 2013 at 23:48 |
    nimefurahi leo kumuona mwanao,kumbe amefanana na gonga,uwii ckujua unlizaa na handsome boy
  • id stay unknown

    id stay unknown

    17 January 2013 at 00:47 |
    hi
    i have never wrote anything on this page but this really, i had to do, they are things in life we could sit down and point fingers, blame and even judge. but again who r we to judge? and also they are things that shows how we feel, mange i dont know you reasons of why she is not with you, but i know one thing for sure, your not convincing with the love that you say you have for your daughter,the mange i know will do anything to get what she want. im not saying you shuld have your daughter next to you now, but its the little things that matters, imagine if you put pictures of her and talk about how wonderful she is, dont give me reasons that just because your not with her its hard to get those pictures, you can and you know this. again just talk about her, write about her. thats what i feel and trust me Mange i respect you because you are a woman but your daughter needs you
    • Kijaruba

      Kijaruba

      17 January 2013 at 10:55 |
      Sasa sijui ulikuwa unataka kusema nini maana na kiingereza changu chote nilichojifunza zaidi ya miaka 20 nimetoka kapa, mweee!! Muwe munaandikaga kwa lugha mnazozielewa kwa ufasaha.

      Back to the topic, Mange hakai na binti yake kwa sababu hakupata custody ya mtoto wake, au hana custody ya huyo mtoto, kwa kuwa wewe unajifanya unayaelewa hayo mambo sana nafikiri hili suala la child custody unaelewa ugumu na wepesi wake ulivyo. Kwa hiyo acha kulaumu laumu tu.
  • id stay unknown

    id stay unknown

    17 January 2013 at 00:57 |
    wewe give me a break, which century are you from? hive are you listening to your self? Mange going to school? you shuld have been proud of her. yaani sijawahi kusikia mtu anaandika vibaya kuhuu shule kama wewe, i have no words for you but, you shuld give mange respect, how many women gets kids and wants to go back to school? tell me? as for the father you might think you are doing right for the daughter but its her right, your destroying her
    • English course

      English course

      18 January 2013 at 08:20 |
      we "ID STAY UNKNOWN" nawe hebu andika kwa lugha unayoijua mana unatuchanganya, kiingereza chenyewe kibaaayaaaaaaaa...inalekea we una kingereza cha kuongea siyo cha kuandika usijikakamueeee......!!!
  • kuntuafro1

    kuntuafro1

    17 January 2013 at 01:20 |
    birthdaybirthday Bhoke wishing an wonderful day and many great things to come.
  • mama kayaii

    mama kayaii

    17 January 2013 at 01:28 |
    Yaani mange kwakweli maneno yako yamenitouch sana mpaka nimelia machoka couse am going through the samething nimemiss birthdays za wanangu for some reasons between me and their father but yote yanamwisho I know is not easy but hakuna kinachoshindikana mbele ya mungu na mwanao anajua unampenda sana na kumjali na iko siku anaweza hata kukufuata mwenyewe .usijakabisa yasemwayo na watu couse they don't know you .mie nimesemwa nimetelekeza wanangu but I don't give a fuck .as long as your taking good care of her everything will be fine.HAPPY BIRTHDAY BABY GIRL , YOUR SO BEAUTIFUL AND YOUR MOM LOVES YOU SO MUCH .I LOVE YOUR HAIR BY THE WAY
  • eva longoria

    eva longoria

    17 January 2013 at 02:13 |
    jamani ee kama ni wageni humu semeni maana inaonekana mmajieleza tu maswali kwa majibu jaribu kupitia post za nyuma kidogo zitakusaidia kupata muongozo..ishu ya bhoke inajulikana humu ndani kwamba swala la custody ndo lililo watenganisha kwa wale wa nje wanaelewa zaidi namna inavokua ngumu kuingilia au kwenda kinyume na sheria husika...hamna mzazi asiyevpenda kuwa na mwanae karibu..ila ni situations unakuta zinabanabirthday cassie
  • Anonymous

    Anonymous

    17 January 2013 at 06:59 |
    TULIENI WADAU HINT KASHAWAPA.. "SHE WILL BE ABLE TO CELEBRATE HER(bhoke) NEXT BIRTHDAY".. chezea MANGEKIMAMBI WEWE.. nothing impossible... HAPPY BIRHTDAY BABY GIRL.hivi vitu vinatokea tena ni vya kawaida.. she is not the first and she won't be the last.. take easy mange sort her out and you will be happy after.hi to TZ.
  • mama kayaii

    mama kayaii

    17 January 2013 at 07:23 |
    Imebidi nirudi tena mange .yaani kila nikikumbuka hayo maneno yako uliyoandika sipati hata usingizi .mimi ni mwanamke mwenye watoto wawili kama wewe najua uchungu ulio nao.listern to mecarefully chango lako ni lako tu na mtu asikubabaishe na wala usisikilize maneno ya watu I know howe u fill my dear bu plz do not give up iko siku mtakuwhuua pamoja na utakuwa na amani ndani ya roho yako.
  • Anonymous

    Anonymous

    17 January 2013 at 07:31 |
    U guys this story has touched me so much. I grew up exactly kama bhoke n guys nikiwambia how it has affected me untill leo iam still batteling my insecurities even na my fiance he has help me gaon some...at bhokes age when i saw other kids with there mum ot killef me when ppl talked it killed me i always thought where is my mum. Kids get affected the most. Mange mimi nabidi tuu nikushauri if this girl is really the love of your life involve her more in ur life. Dont tell me even that you cant and if u will fail basi she is ur daughter not ours and its her life that will be desroyed . That best child life mdo hiyo age . And for those who go to bhoke telling her kuwa hapendwi that is cold blooded amy god punish you. And wale who ever said she is not beautiful bla bla bla nilishasikia sana tena na watu wakisema umemuona mtoto wakr mange wakike. Bhoke uwii nikimuona beauty is all i see pale. Cinvratulagion to have such a beautiful daughter and she seems very understanding....mange again hongera mtoto mzuri na we would love to see more of her with hou
  • Anonymous

    Anonymous

    17 January 2013 at 07:40 |
    MANGE POLE SANA MIMI HUWA SICOMMENT KWENYE HII BLOG YAKO ILA NI MPENZI SANA KWA KWELI LEO UMENITOA MACHOZI. I CAN FEEL HOW YOU FEEL! POLE MANGE
  • Anonymous

    Anonymous

    17 January 2013 at 07:53 |
    I have thought hard if to comment here being i know bhoke in person n i saod let me just do for the first time. Mange if you for even a momment even a second want to make urself feel good that she is okey than truth be she is not okey n ye yes yes she does wish for moments that she could have been in life n thoughts kama kenzo...end of the day watever makes you sleep at night. All in all i would have done it diff thats all iam saying....godbless u all. Happy borthday bhoke amazing kid.
    • kijichopembe

      kijichopembe

      17 January 2013 at 09:43 |
      hata sijakuelewa maneo miingi pointless
      • Anonymous

        Anonymous

        18 January 2013 at 09:16 |
        kweli huyu kiingereza inabidi arudi tuition kidogo! hata mie sijamuelewa.. no point taken in her/his words. very confused like minced meat.Iam not blaming though!!! is all about foregn language.BUT! ( wengine hata kiswahili to make a sentence pia shughuli sijui hapa sasa nani alaumiwe???I THINK, ELIMU YA MWL. JK watoto hakuna kujieleza, matokeo yake ndio haya).
  • Anonymous

    Anonymous

    17 January 2013 at 08:15 |
    she is very pretty. happy birthday bb girl
  • Anonymous

    Anonymous

    17 January 2013 at 10:02 |
    Siku zote ndugu wa kwanza wa mtoto ni baba na mama yake hivyo hata mzazi mmoja akizuia mtoto kwenda kwa mzazi mwingine haisaidii kwani mtoto atakapokuwa mkubwa atafanya maamuzi yake mwenyewe. Mara nyingi huwa tunasoma na kusikia watoto wanatafuta wazazi wao. Tusimlaumu Mange kwa kutolea mtoto wake akiwa mdogo kwani kwa wakati ule hakuwa na maamuzi alikuwa chini ya mamlaka ya mzazi wake naye (Mange) hakuwa na kipato cha kuweza kulea mtoto wake. Uamuzi wa kwenda shule ulikuwa mzuri maana leo anauwezo wa kulea watoto wake na hadi mayatima. Happy Birthday Princess Cassie.
  • muke ya jaluo

    muke ya jaluo

    17 January 2013 at 11:48 |
    birthday cassie
  • kayemba ney

    kayemba ney

    17 January 2013 at 12:30 |
    batting eyelashesbatting eyelashesbatting eyelashes Who am I to judge a mother who carried her child 9months in her womb??birthdaybirthday bhoke!Your mom and us loves ublowkiss
  • beautiful

    beautiful

    17 January 2013 at 13:31 |
    Mange my dear sis,i dont have kid but u just touched my heart with your words which i just read from your heart,trust me mama ni mmoja tu,yule anayekuzaa akilia machozi ya furaha pale tu anapofanikiwa kukuleta duniani,baada ya hapo hakuna mwingine,that is why tunashauriwa kumpenda na kuonyesha mapenzi yooote maana cku akiondoka ni huna mama tena,no matter what happened to you and the other side shall never change of who u are to Cassandra,narudia it shall never change,u are the mother and forever u will remain cassandra's mom,she will come to you wherever you are,good enough its she,so trust me she will come to you no matter how many setbacks gets on her way,and she is veeery proud of you!forgive whoever father is,am kurya,i know what you must be going through!but always pray and know that prayers is the medicine of all,love u much and stay blessed.
  • Upendo

    Upendo

    17 January 2013 at 22:24 |
    Siku zote sijawahi kuandika humu, lakini leo nimebidi. Imeniuma sana kuona kuna watoto wanapitia yale yaliyonikuta mie. Mange, inauma sana kwa mtoto kuliko mtu yeyote ambavyo anaweza fikiria. Siku zote nilitamani sana kuishi na mama yangu, lakini sikuweza. Japo baba alinipenda sana na kunipa mapenzi yote, bado mama nilimuwaza kila siku. Afadhali kidogo ilikuwepo nilipoenda Sekondari, mama alikuwa akija kuniona shule na kuniambia maneno yote matamu, na hizo siku mpaka leo sizisahau. Nilipofika chuo kikuu nikawa sasa naweza kufanya maamuzi yangu mwenyewe na nilikuwa huru kwenda kwa mama. Bahati mbaya, nimemaliza tu chuo, ata kabla sijapata kazi, mama akafariki kwa kansa ya ziwa. Inauma mpaka kesho.
    Mange jitahidi uweze kuwa na mwanao. Ni mengi sana anayamiss kwako. Mungu akupe nguvu na ambariki Cassie na aweze kuelewa hali halisi.
  • MKE WA MZUNGU

    MKE WA MZUNGU

    18 January 2013 at 02:25 |
    Happy Birthday African princess!!!!!!!!!! You are a true african beauty. God bless you.
    birthdaybirthdaydance
  • Kijaruba

    Kijaruba

    18 January 2013 at 07:38 |
    What wako so judgmental utafikiri wao wanalea watoto wao wakati kutwa wako busy kutafuta shilingi watoto wao wanalelewa na mahausigeli pamoja na facebook na video games khaa, give Mange a break, kukaa na mtoto nyumba moja sio kumlea maana unaondoka lukwili unarudi jua limezama au usiku umeingia.

    Tena wanawake wengine wasivyo na haya ikifika jioni badala awahi kurudi nyumbani kwake japo alee watoto wake hayo masaa machache bado hawajalala eti anapitia BAR akainjoy na marafiki zake happy hour baada ya saa za kazi. Na kwa foleni za Bongo hiyo happy hour imepatiwa sababu watu wanadai wanasubiria foleni ipungue, sasa ajabu sijui hiyo foleni itapunguaje wakati watu wenyewe mnaosababisha foleni bado mko mjini kwenye happy hour, matokeo yake mnafika majumbani mwenu saa 6 za usiku, mnatoka saa 11 alfajiri, sasa hao watoto wenu mnawalea saa ngapi?thinking

    Wengine midomo mirefu humu lakini watoto wenu wanalelewa na masister huko kwenye boarding school kumuona ni likizo hadi likizo na tena likizo yenyewe akija home unakuta mama mwenyewe ndio huyo wa happy hour kwa sababu ya foleni, sasa sijui saa ngapi au ni muda gani mnakuwa na quality time na watoto wenu?d'oh

    Ni wanawake wachache sana wanaoweza kusema kuwa wanalea watoto wao pamoja na wengi kuwa na access na watoto wao 24/7 lakini hawalei eeh tusidanganyane humu, unless uamue kufanya kazi part time au ujifanyie business zako mwenyewe lakini kwa maisha ya sasa ni rarely kukuta mzazi analea mwanae yeye mwenyewe bila kujali anaishi nae yeye au vipi. Bora hata huyo Mange ukute anaongea na binti yake kila siku kwa simu au skype kuliko hata hao wanaoishi nao ndani ukute hajaongea na mtoto mwezi mzima!!Happy hour my foot wanawake mnaharibikiwa na familia hivi hivi mnajiona, mscheew
    • Rafiki wa Ngosha

      Rafiki wa Ngosha

      18 January 2013 at 17:42 |
      nimekupenda bure mdau..point kabisa. Happy hrs hiz so true.
  • Kijaruba

    Kijaruba

    18 January 2013 at 07:38 |
    What wako so judgmental utafikiri wao wanalea watoto wao wakati kutwa wako busy kutafuta shilingi watoto wao wanalelewa na mahausigeli pamoja na facebook na video games khaa, give Mange a break, kukaa na mtoto nyumba moja sio kumlea maana unaondoka lukwili unarudi jua limezama au usiku umeingia.

    Tena wanawake wengine wasivyo na haya ikifika jioni badala awahi kurudi nyumbani kwake japo alee watoto wake hayo masaa machache bado hawajalala eti anapitia BAR akainjoy na marafiki zake happy hour baada ya saa za kazi. Na kwa foleni za Bongo hiyo happy hour imepatiwa sababu watu wanadai wanasubiria foleni ipungue, sasa ajabu sijui hiyo foleni itapunguaje wakati watu wenyewe mnaosababisha foleni bado mko mjini kwenye happy hour, matokeo yake mnafika majumbani mwenu saa 6 za usiku, mnatoka saa 11 alfajiri, sasa hao watoto wenu mnawalea saa ngapi?thinking

    Wengine midomo mirefu humu lakini watoto wenu wanalelewa na masister huko kwenye boarding school kumuona ni likizo hadi likizo na tena likizo yenyewe akija home unakuta mama mwenyewe ndio huyo wa happy hour kwa sababu ya foleni, sasa sijui saa ngapi au ni muda gani mnakuwa na quality time na watoto wenu?d'oh

    Ni wanawake wachache sana wanaoweza kusema kuwa wanalea watoto wao pamoja na wengi kuwa na access na watoto wao 24/7 lakini hawalei eeh tusidanganyane humu, unless uamue kufanya kazi part time au ujifanyie business zako mwenyewe lakini kwa maisha ya sasa ni rarely kukuta mzazi analea mwanae yeye mwenyewe bila kujali anaishi nae yeye au vipi. Bora hata huyo Mange ukute anaongea na binti yake kila siku kwa simu au skype kuliko hata hao wanaoishi nao ndani ukute hajaongea na mtoto mwezi mzima!!Happy hour my foot wanawake mnaharibikiwa na familia hivi hivi mnajiona, mscheew!
  • Kijaruba

    Kijaruba

    18 January 2013 at 07:46 |
    Haya masuala ya watoto haya jamani duniani hapa kuna mambo, nina shosti wangu mpenzi juzi kanipa story ya ajabu kabisa. Yaani yeye mdogo wake wa kiume mtu mzima na akili zake kamkataa mtoto wake wa kiume wa miaka 17, tena kamkataa kwa sababu ya fitina na roho mbaya ya mkewe na ndugu za mkewe. Mimi huwa namwambia huyo shostito wangu kuwa huyu kaka yako anaendeshwa na shemeji yake, maana huyo shemejie ni mudada mmoja wa mujini anajulikana sana tena sana basi anacontrol mpaka nyumba ya mdogo wake huyo shemejie hasikii neno la mtu yeyote zaidi ya huyo bidada. Sasa nasikia mtoto kaenda dukani kwa huyo auntie wake shemeji wa dadake ili aongee na babake amlipie ada ya shule ili aweze kurudi shule, tena yuko form four. Huyo dada kasema maneno ya uwongo kwa baba wa mtoto na huyo baba alivyo na akili ya kushikiwa kakataa kumlipia mwanae ada ya shule. Imagine mtoto yuko form four mzazi anakataa kumlipia ada kisa maneno ya kuambiwa!!! Ikabidi huyo shosti wangu ampeleke tu mtoto huko shuleni akamuombee kwa mwalimu aende darasani wakati wanatafuta namna ya kulipa ada yake. Duh duniani hapa watoto waliobaki na baba zao ilhali mama zao wamekufa wana tabu sana maana hawana mtu wa kuwatetea wala kuwasaidia kuwakoromoe baba zao wawatimizie mahitaji yao! Bora angemkataa wakati yuko mdogo akaenda kulelewa kwenye kituo cha watoto yatima!!
  • Tonnialee....

    Tonnialee....

    18 January 2013 at 13:36 |
    goodluck Mangelita and baby Cassie no matter what they say there is no Cassie without Mange and vice versa...wakuache I believe there is a day u will be sharing the roofMJ
  • Brainlicious

    Brainlicious

    18 January 2013 at 15:10 |
    Happy birthday Cassie aka Bhoke.....she is a split image of her father!! I hope you get to see your daughter when you go to Tanzania and spend some quality time with her!

    PS: wadau jamnai msisahau kwamba Mange ni mke wa mtu tena mzungu, sio rahisi ajichukulie maamuzi aseme mwanae ambae alizaa na mtu mwingine amchukue akakae nae! Hapo lazma aongee na umemewe waelewane na kama mume atakubali. also kama mtoto yuko comfortable kwa baba yake kwa nn aanze kuzungushwa? Mange yeye ajitahidi tu kumuona mwanae frequently na amuonyeshe kwamba anampenda ingawa hawako pamoja. Nakubali kwamba anampa Kenzo more publicity than Bhoke ila at the same time huwezi jua, labda Frank hamruhusu Mange kumuongelea Bhoke humu ndani!!! Sometimes things are not as simple nor straight forward as they look.
  • miami bitch

    miami bitch

    20 January 2013 at 04:21 |
    YATAISHA MANGERITA....cassie aanakua bana na usa atakuja mwenyewe kukufata.huyo baba yake kafanya la maana kumlea manake waanaume wa bongo hawalei watoto kazi bar tu....be happy mamito.

    happy birthday cassandra wa mangeeeee