16January

MWANANGU KENZO NA MIPIRA YAKE....LOL...

yani huyu mtoto jamani.....Leo nikaona nimrekodi....lol...

sijui ana nini na mipira...yupo tayari aanguke kitandani ili mipira yake ipate pa kulala...

too funny....

 

My son, almost falling off his bed so he could make sleeping space for his balls....lolest...

 

 

PS: Hiyo kwanini anayoniambia kila saa ni kwamba mie na Da Zenat tukiwa tunamgombeza huwa tunamuuliza

kwanini umefanya hivi? so na yeye keshakremu kwanini??lol...

ofcourse baya is still his favourite word...lol

Comments (24)

  • SENSINTIVE SAMURAI

    SENSINTIVE SAMURAI

    16 January 2013 at 09:56 |
    ahhh Mr. Watiti aka bambam kwanini mcd much much muchblowkissblowkisspopchampgnecheers


    mangeblog
    • kibonge

      kibonge

      16 January 2013 at 13:58 |
      kwanini....,haa haa haa
  • Miss U turn

    Miss U turn

    16 January 2013 at 10:12 |
    ooooh so sweety kenzoky u made my day asubuhi asubuhi nilikuwa nimeamka na mastress yasiyokwisha ....tena mange jina lake hilo hilo usimpachike majina ya wachezaji wengine.....
  • official dushbag

    official dushbag

    16 January 2013 at 10:56 |
    lol hahahahahahaahahahahahaaa..............jaman huyu mtoto kaniacha hoi,inabid umtaftie sita kwa sita sasa,au ndo ataongeza na mingne?!rolling on the floor
  • miami bitch

    miami bitch

    16 January 2013 at 11:19 |
    am happy u tok swahili with kenzo...aisee mtoto huyo lazma footballer..naona mpaka wivuuu mie!! hawa wakwangu hizo tabia hawakuwa nazo wao ni kutwa kwenye computer!!and now i pad!!

    kazana mange mtoto ana kipaji usizembee..bahati hiyo shoga!!hongeraje mwali.

    go kenzokiiiiiiiiiii
  • muke ya jaluo

    muke ya jaluo

    16 January 2013 at 11:47 |
    drogba wetu yupo juuuublowkiss
  • lala

    lala

    16 January 2013 at 13:47 |
    Drogba yupo vizuriblowkiss .......ametishaaaaapeace
  • k0ku

    k0ku

    16 January 2013 at 14:32 |
    hahaaa! hadi akifikisha miaka 6 atakuwa kahamia kulala chini kuipisha mipira yake.. i love it
  • mama n

    mama n

    16 January 2013 at 14:42 |
    big grin ha ha ha ha funny
  • Anonymous

    Anonymous

    16 January 2013 at 18:52 |
    omg mange i have never commented in ua blog but this has moved me too,,kenzoki is soooooooooooooooooooooo adorable,,,,lol mummy kwanini hahaha
  • Uturn Addict

    Uturn Addict

    16 January 2013 at 19:01 |
    Hahahhahah i love u kenzoki.....
  • Anonymous

    Anonymous

    16 January 2013 at 22:39 |
    utoto tu hou akiwa na miaka minne au zaidi hobby inakwisha wewe, si yuko tu home peke yake ndio maan
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    16 January 2013 at 23:33 |
    hahahah Kenzoki ni kafuture Drogba kwakweli,,nimependa anavopenda mipira yake i jus hope hakachezi mpira ndani,,,but i guess ni vitoto vyote as kunawengine wakiwa na new toy or shoes or anything new yani ukimvalisha kumvua ni kasheshe au tabia ya kulilia all toys mkiwa shoppin hahahha omg kids are special mtoto anaweza lilia toy kama amechinjwa hahahah mpk inabidi umnunulie tu yani....aww i love babies..
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    16 January 2013 at 23:42 |
    baby nataka kuskia kigugumizi chako awww i love u my baby i like the way u talk unaongea kiutamu utamukiss aww jus tooo sweet au kwa vile umejua baby yako atakuskilizashakebutt
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    16 January 2013 at 23:50 |
    baby da Zenat got high pitch,,,i dont wanna talk to herashamed

    heheheh im just jokingshakebutt
  • Natalia Bakilana

    Natalia Bakilana

    17 January 2013 at 00:01 |
    Napenda mnavyo ongea kiswahili. Ni vizuri sana kuwa bilingual. Keep it up.
  • kuntuafro1

    kuntuafro1

    17 January 2013 at 01:10 |
    I can see our next David Luiz right there!talent ua hazijifichi.We gonna pray for you baby Kenzo lazima tukuone Fox Soccer Channel na ESPN!
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    17 January 2013 at 01:25 |
    baby how many bedroom u got?inamaaana Kenzo analala room yake pekee yake au?nimeonakimonitor sijui simu...
    au mom n dad's room usiku inakuwa busy saaana makelele,movement nini na nini not suitable for Kenzoki to enjoy his sleep heheheee
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    17 January 2013 at 01:43 |
    dady ake mkalii eeh namskia daZenat anamwambia,ntamuita dady sasa hivi....
  • parrotkasuku

    parrotkasuku

    17 January 2013 at 07:23 |
    Mange Mange Mange never come between boys with their toys hahahahaaa kwanini? Hilarious! I love you Kenzo
    • Anonymous

      Anonymous

      18 January 2013 at 08:17 |
      sio haijawahi kutokea Mange watoto has aboys huwa wanapenda kwenda kulala na toy zao wanaamini watazilinda kuliko wakiziacha hovyo so ni kawaida tu na ataendelea hivyo mpaka miaka mitatu minne ijayo nna mifano hai ya watoto wa dada zangu na marafiki
  • Pretty Ngine

    Pretty Ngine

    17 January 2013 at 13:45 |