13January

BONGOLICIOUS AFRICAN PRINTS PHOTOSHOOT

NGUO TAYARI ZINAUZWA ON THE WEBSITE

WWW.MYBONGOLICIOUS.COM


(INGIA PALIPOANDIKWA SKIRTS...LOL,JUMATATU ADMINISTRATOR ATAWEKA MAMBO SAWA HEHE)


KWA MLIOBONGO KAMA UNATAKA CHOCHOTE KWENYE HII COLLECTION PLS NITUMIE EMAIL


NGUO ZOTE NI SMALL,MEDIUM AND LARGE.

NTAKUJA NAZO BONGO IN A WEEK.....

This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Comments (44)

  • Anonymous

    Anonymous

    13 January 2013 at 10:14 |
    FUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUCK, FINALLY TANZANIA HAS A FASHION DESIGNER.YEAH I SAID IT
    popchampgnecheers
    • Anonymous

      Anonymous

      13 January 2013 at 10:18 |
      Respect muke ya muzungu, hard to believe ni kazi ya mtanzania mwenzangu.You should do New York fashion week this yr.
  • Anonymous

    Anonymous

    13 January 2013 at 10:24 |
    mange unajikondesha tooooo much sasa dah
  • helsingborg

    helsingborg

    13 January 2013 at 10:28 |
    Well done ,Mange sky is a limit for you.I do see Rihana kwenye"chupi & bra" outfit
    Shine!! ,shine !! :ha kunaga: girl
  • Anonymous

    Anonymous

    13 January 2013 at 12:06 |
    The outfits are fabulous!!!!
  • Rose Athumani

    Rose Athumani

    13 January 2013 at 12:07 |
    Keep it Mange, you are doing a good job out there! Tuwakilishe ipasavyo!
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    13 January 2013 at 12:47 |
    • Bipolar

      Bipolar

      13 January 2013 at 20:29 |
      chatterbox kaoshe vyombo wewe
      • ngosha

        ngosha

        14 January 2013 at 06:51 |
        slapping kafie mbele
        • m a r i c h u i

          m a r i c h u i

          14 January 2013 at 07:51 |
          Ngosha achana na Vilaza hamna hata haja ya kuwapiga Vibao ....Wanasumbuliwa na N ....mwenyewe akiandika hivyo anasikia rahaaaaaa kumoyo mwe ! Shida hizi
          • NYAWINO

            NYAWINO

            14 January 2013 at 11:46 |
            huu mwaka ni wakutafuta ankara sio kujibizana humu kwenye blog. MARICHUI mama watu kama hawo unawapotezea tu maana hawajui nini wafanyajo maana huoo muda wa kuandika humu utumbo si bora ukafanya kitu kingine,,,,,, Ngosha mpe na vibao vyangu huyo Bipolar...
  • Anonymous

    Anonymous

    13 January 2013 at 13:49 |
    Hizo nywele zako nenda salon zikakatwe na kusawazishwa vizuri, jinsi zilivyokaakaa hovyo zimekubaribia sana picha,otherwise nguo zote nzuri sana.
    • NYAWINO

      NYAWINO

      14 January 2013 at 11:48 |
      we umeona nywele tu,,, pole sana mdau! muda wote ni kumshambulia tu Binti Kimambi si mumuwache mtoto wa mwenzenu afanye yake na wewe fanya yako......
  • Super-Stylist

    Super-Stylist

    13 January 2013 at 13:52 |
    Very excellent designs! I love them all - Keep up the Great Work Ms.Kimambi!
  • k0ku

    k0ku

    13 January 2013 at 14:12 |
    nguo ni nzuri sanaa Mange! hongera sana, pia ongeza na zile swim suit za wale vibonge za kuziba manyamanyama uzembe!!goodluck
    • NYAWINO

      NYAWINO

      14 January 2013 at 11:50 |
      huyo ndio kokunyegeza mwingine photocopy... sikuingine anacomment vizuri siku ingine anaponda. Duh kazi kwelikweli. mimi huwa nashindwa nikuweke kundi gani.
  • miss u turn

    miss u turn

    13 January 2013 at 15:06 |
    teammange I'M VERY HAPPY KWAKWLI KUMUONA MWANAMKE MWENZANGU WA KITANZANIA ANAVYOKIPINZA GOOOOOOOOOOD JOBBBBBBBBBBBBBBBBBBBB MUMY...........SIJUI LINI UTAKUJA HUKU UK??????????KAMA
  • Anonymous

    Anonymous

    13 January 2013 at 19:36 |
    MAnge good job girl. I really liked the baby-doll dress you showcased in Chicago, you don't have it here, I would luuuuuv to buy it especially if you make it lacy on top, ot V Neck, I am well endowed girl if ya know what I mean, so I like V- neck tops that wont suffocate my girls.
  • Anonymous

    Anonymous

    13 January 2013 at 19:40 |
    how come I dont see my comments?
  • Anonymous

    Anonymous

    13 January 2013 at 19:45 |
    Hiyo outfit, aliovaa Mange kama rihana vile mhhh,mimi chichemi sana, mbona wabongo nowdays watakua kama wamarekani ni mwendo mdundo, bundasiliga
  • posh

    posh

    13 January 2013 at 19:56 |
    Hahahahaha Umependeza kweli,na hyo chupi imekutoa kama unaenda kumsalimia King mswati,,,,,,
    • Anonymous

      Anonymous

      14 January 2013 at 07:40 |
      mbavu zangu mie king mswati tena yesuu posh unaniua na kicheko
  • anonymous

    anonymous

    13 January 2013 at 21:00 |
    Mange kula sana vinavyopikwa na dada Zenat mbona mumeo ananenepa anapendeza? jiangalie picha ya saba na ya 19 ts too much mamii, hziz picha pembeni kwenye blog ulizotuwekea ndio ulikuwa na mwili mzuri, unamvuto sasa unazidisha.
    Nguo nzuri sana nimezipenda natamani gauni la mwisho hasa hilo. Hongera
  • Anonymous

    Anonymous

    13 January 2013 at 23:22 |
    Heee Mange jamani, kujitahidi unajitahidi sana, your designs are good, but that no.5 umeniacha nacheka, sasa ndio nini hiyo? swim suit? sasa kama ni swin suit mbona tena picha zinazofuatia unaivalia na hiyo suit nyeusi? hemu naomba uclarify hilo please maana sijakuelewa, ina maana hiko kifunga maziwa cha kitenge unaweza vaa beach then next day kikikauka ukavalia koti na sketi ukaenda kazini au?lmao unafanya kazi nzuri but please tafuta short course ya designing na mambo ya advertising......
  • Anonymous

    Anonymous

    14 January 2013 at 00:03 |
    Nakupongeza kwa kujenga uchumi kwa njia hii. Hongera kwa kujishughulisha. Ila sasa achana na malumbano na udaku focus on your business. Mungu akubariki
  • muke ya jaluo

    muke ya jaluo

    14 January 2013 at 09:44 |
    hongera mange
  • Malimo

    Malimo

    14 January 2013 at 10:38 |
    Hongera Mange wangu kwa mambo mazuri. Ila hizo nywele sizielewi, ni low cut au? Please do something on that...
  • Mwanamke Hulka!

    Mwanamke Hulka!

    14 January 2013 at 14:16 |
    Uko juu mamaa! Lazima tukubali! Hatakama wakikataa mdomoni moyoni jibu wanalo!!sorry
  • Anonymous

    Anonymous

    14 January 2013 at 14:23 |
    sasa hiyo ni chupi ya kitenge au nini? tufafanulie basi maana hizi fashion balaa . good job ur doing very well
  • Jane

    Jane

    14 January 2013 at 14:31 |
    Nimevutiwa na outfit zako sana you are so talented go girl. ila hiyo afya yako mpenzi hapana kabisa yaani jiangalie mara mbili maaana mpaka naona leo kama unamachokumchuzi mpenzi
  • Fair

    Fair

    14 January 2013 at 14:32 |
    Nakupongeza sana kwa kazi nzuri unayoifanya, lakini nilikuwa na ushauri kwa nini hiyo nguo kama kich*p na blaz ungeipiga picha tuu kuliko kuvaa maana utamaduni wa Mtanzania kuvaa kitu kama hicho na mtandao siku hizi huko wazi kila mtu anaona ndugu, wazazi na jamii nzima huoni kama inakuwa sio vizuri. Otherwise am proud of u.
  • parrotkasuku

    parrotkasuku

    15 January 2013 at 07:13 |
    Designs are on point! Hongera my CEO
  • Anonymous

    Anonymous

    15 January 2013 at 11:38 |
    Habarri yako dada Mange,nakupongeza sana sana kwa kazi nzuri unazo fanya kiukweli bongolicious iko juu nguo ni nzuri sana.....nikiwa kama mdau wa blog yako nina ushauri kidogo kwako.Tangu niane kufuatilia habari kwenye hii blog naona unazidi kupungua kadiri siku zinavozidi kwenda sijui ni uamuzi wako au vipi but kwa mtazamo wangu napenda sana na pia naona mwili ulionao kwenye picha ulizoweka pembeni ya blog yako ni mzuri unakupendeza na unakufanya uonekane mrembo zaidi...kweli kweli kweli jtahd ufikie hapo my dar "YOU LOOK MORE BEATUFUL THAT WY,U ROCK" otherwise nakutakia kazi njema na malezi mema ya mwanao,,MUNGU AKUTANGULIE
  • Anonymous

    Anonymous

    15 January 2013 at 11:38 |
    Habarri yako dada Mange,nakupongeza sana sana kwa kazi nzuri unazo fanya kiukweli bongolicious iko juu nguo ni nzuri sana.....nikiwa kama mdau wa blog yako nina ushauri kidogo kwako.Tangu niane kufuatilia habari kwenye hii blog naona unazidi kupungua kadiri siku zinavozidi kwenda sijui ni uamuzi wako au vipi but kwa mtazamo wangu napenda sana na pia naona mwili ulionao kwenye picha ulizoweka pembeni ya blog yako ni mzuri unakupendeza na unakufanya uonekane mrembo zaidi...kweli kweli kweli jtahd ufikie hapo my dar "YOU LOOK MORE BEATUFUL THAT WY,U ROCK" otherwise nakutakia kazi njema na malezi mema ya mwanao,,MUNGU AKUTANGULIE
  • Lilz

    Lilz

    16 January 2013 at 03:07 |
    i love everything my fav is the baby doll dress...Mange i did email you on facebook please check
    thanks
    keep up the good work girl
  • Anonny Mom

    Anonny Mom

    16 January 2013 at 16:12 |
    Beautiful clothes.. Congratulations!

    Ila mbona nguo zingine hazionekani tena? yaani stock ikiisha huongezi?

    Nasi mama zako wengine tuko fashionable na tunauwezo wa kununua ina tunaomba XXL!! au utasema twende duka lingine sio mybongolicious.com??
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    14 January 2013 at 17:08 |
    WORD ! NYAWINO
  • Bipolar

    Bipolar

    15 January 2013 at 01:01 |
    slapping Bitch na wewe chukua hiyo
    • NYAWINO

      NYAWINO

      16 January 2013 at 14:56 |
      teh teh teh teh kazi unayo shost kama ndo kutwa kucha kwenye blog ya mwenzio kutoa mitusi pole sana!!!